Ruto: Waliohusika katika vifo vya watu Kware watakabiliwa na sheria

  • | NTV Video
    380 views

    Rais Ruto akizungumuzia swala la kupatikana kwa miili Mukuru Kwa Njenga, ametoa hakikisho kuwa serikali itahakikisha kuwa wote waliohusika na vifo hivyo wanakabiliwa na sheria, huku akiwataka wakenya kuwa watulivu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya