Ruto:Nimejitolea kukomesha mauaji ya kiholela nchini

  • | KBC Video
    5,969 views

    Rais William Ruto ameagiza polisi kuchunguza madai kuhusu kutoweka kwa watu hapa nchini kupitia visa vya utekaji nyara.Kiongozi wa taifa akitoa wito wa kutumiwa ipasavyo kwa haki za kidemokrasia amesema azimio lake la kukomesha mauaji ya kiholela bado ni thabiti. Rais amesema hatatikiswa katika wajibu wake licha ya kile alitaja kuwa uchochezi kupitia mitandao ya kijamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive