- 38,055 viewsDuration: 3:57Safari ya kurejesha nyumbani mwili wa waziri mkuu wa zamani marehemu Raila Odinga ilikuwa ya kihistoria. Marubani na wahudumu wa ndege wakisimulia hisia zao kabla ya safari hiyo kuanza na hatimaye kukamilika kwa safari hiyo katika uwanja wa ndege wa jkia.