Sera ya mwaka-2018 ya ustawishaji kawi safi yapigwa msasa

  • | KBC Video
    8 views

    Serikali imehimizwa kuimarisha ushirikiano kati ya sekta za umma na kibinafsi kufanikisha matumizi ya kawi safi mashinani. Wakizungumza kwenye kongamano lililoandaliwa na wizara ya kawi kupiga msasa sera ya nishati ya mwaka-2018, wataalam kutoka Muungano wa makundi yanayohimiza upatikanaji wa kawi safi waliangazia changamoto zinazozuia ustawishaji kawi safi humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive