Serikali kuhakikisha wafanyakazi wa jua kali wamepata haki zao

  • | KBC Video
    40 views

    Wafanyikazi wa sekta ya jua kali humu nchini watanufaika na mpango wa ulinzi wa jamii unaofadhiliwa na shirika la kimataifa la wafanyikazi kwa ushirikiano na serikali ya Uchina. Mradi huo wa miaka miwili unaotarajiwa kugharimu dola milioni moja unanuiwa kutumia mageuzi ya kidijitali kuhakikisha wafanyakazi zaidi wa sekta ya jua kali wanashirikishwa katika ulinzi wa kijamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive