Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuteketeza dawa za kulevya za bilioni nane zilizokamatwa Bahari Hindi

  • | Citizen TV
    5,175 views
    Duration: 2:32
    Shehena ya dawa za kulevya zenye thamani ya bilioni nane ilionaswa hapo jana itatekezezwa. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amesema kuwa serikali itaendelea kupiga vita ulanguzi wa dawa za kulevya baada ya washukiwa sita raia wa Iran kukamatwa katika ufuo wa Bara Hindi. Uchunguzi umebaini kuwa meli iliyotumika ilikuwa imetoka Iran na washukiwa hao kupewa ramani ya kusafirisha shehena