Serikali ya kaunti ya Elgeyo Marakwet kusambaza maharagwe katika shule za kaunti

  • | Citizen TV
    246 views

    Serikali ya kaunti ya Elgeyo marakwet kwa ushirikiano na shirika la wakulima Wa nafaka imetia saini mkataba wa maelewano unaolenga kuboresha usalama wa chakula na lishe katika kaunti hiyo.