14 Nov 2025 10:15 am | Citizen TV 120 views Duration: 1:45 Serikali ya Kaunti ya Migori imehimizwa kuongeza ufadhili kwa idara ya afya ili kuimarisha utekelezwaji wa Huduma za Afya ya Msingi.