Serikali ya kaunti ya Samburu yazindua mpango wa usambazaji matangi ya maji katika shule 53

  • | Citizen TV
    270 views

    Ni afueni Kwa shule za Chekechea katika kaunti ya Samburu baada ya serikali ya Kaunti hiyo kuzindua mpango wa usambazaji matangi ya maji katika shule 53. Hatua hiyo inanuiwa kurahisisha usambazaji maji wakati ambapo ukame umekithiri na kuchangia uhaba wa maji eneo hilo.