Serikali yabuni mkakati kupunguza msongamano magerezani

  • | KBC Video
    101 views

    Idara ya mahakama imebuni mkakati wa kushughulikia tatizo la msongamano magerezani kote nchini. Jaji mkuu, Martha Koome ambaye alizundua mkakati wa kupunguza msongamano kwenye gereza la Nairobi Remand na mpango wa kuimarisha usalama katika gereza la Industrial Area alisema hatua hii itapunguza changamoto na raslimali zinazotumiwa kuwarekebisha wafungwa. Koome amesema idara ya mahakama itazingatia mfumo wa wafungwa kuwajibikia jamii badala ya vifungo kwenye jela.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive