- 394 viewsDuration: 2:59Serikali imesema kuwa iko mbioni kutimiza ahadi ya nyumba milioni moja kufikia mwaka wa 2027 kupitia mpango wa nyumba za bei nafuu. Mradi huo ulioanza mwaka jana unalenga ujenzi wa nyumba laki mbili kila mwaka. Na kama anavyoarifu Brenda Wanga, taifa linahitaji nyumba laki mbili unusu kwa mwaka