Serikali yahimizwa kuwashirikisha watu walio na ulemavu

  • | KBC Video
    5 views

    Kongamano la kimataifa kuhusu ulemavu lilifikia tamati jijini Nairobi leo huku wadau wakieleza kutoridhishwa na hatua zilizochukuliwa kuhakikisha ujumuishaji na utekelezaji haki za watu walio na ulemavu. Kongamano hilo lilitathmini hatua ambazo Kenya imepiga katika kutekeleza ahadi zilizotolewa wakati wa makongamano ya kimataifa kuhusu ulemavu ya miaka2018 na 2022 huku ulimwengu ukijiandaa kwa makala ya mwaka huu ya kongamano hilo litakaloandaliwa mjini Berlin, Ujerumani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive