Skip to main content
Skip to main content

Serikali yakanusha madai kuwa sheria ya Uhalifu wa Kompyuta yanakusudia kudhibiti uhuru wa kujieleza

  • | NTV Video
    72 views
    Duration: 1:14
    Serikali imekanusha madai kuwa marekebisho mapya ya Sheria ya Uhalifu wa Kompyuta na Uhalifu wa Mtandaoni yanakusudia kudhibiti uhuru wa kujieleza au kukandamiza sauti za upinzani. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya