Serikali yakanusha madai kwamba ukumbi wa Bomas umeuzwa

  • | KBC Video
    191 views

    Serikali imekanusha madai kwamba ukumbi wa Bomas umeuzwa. Kwenye taarifa, serikali imeyataja madai hayo kuwa ya uwongo na ya kupotosha. Aidha taarifa hiyo ilibainisha kwamba kinyume na uvumi huo, ukumbi huo unaboreshwa kuwa kituo cha hadhi ya juu cha mikutano ya kimataifa na utamaduni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News