Serikali yapokea mchango wa dola milioni 1.6 kusaidia kudhibiti magonjwa

  • | KBC Video
    20 views

    Wizara ya afya imepokea mchango wa vifaa vya upimaji ugonjwa wa Mpox na dawa za magonjwa yaliyopuuzwa yanayoathiri maeneo yenye joto jingi kutoka kwa shirika la afya duniani kupitia shirika la USAID. Hafla ya kukabidhiwa vifaa hivyo iliyoongozwa na waziri wa afya Dr. Deborah Barasa katika jumba la Afya imejiri wakati nchi hii ikijitahidi kudhibiti chamko la ugonjwa wa Mpox ambapo kufikia sasa visa 13 vimethibitishwa katika kaunti 10 humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive