Serikali Yatoa Bilioni 1.75 Kwa Wizara Ya Afya Kulipa Mishahara Ya Madaktari Wote Nchini

  • | TV 47
    44 views

    Serikali Yatoa Bilioni 1.75 Kwa Wizara Ya Afya Kulipa Mishahara Ya Madaktari Wote Nchini

    Serikali Yatoa Sh Bilioni 1.75 Kwa Wizara Ya Afya Kwa Ajili Ya Mishahara Ya Kuwalipa Madaktari Wote Nchini

    Serikali ya kitaifa imetoa shillingi bilioni 1.75 ili kufuta mishahara na marupurupu kwa madaktari wiki chache baada ya wahudumu wa afya kusitisha mgomo wao.

    Katibu Mkuu Wa Afya Ya Umma Mary Muthoni amethibitisha kuwa pesa zilizolipwa ni sehemu ya shillingi 3.5 bilioni ambazo zimekusanywa tangu 2016.

    #TV47Wikendi #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __