Serikali yazindua mpango wa chakula na lishe nchini

  • | KBC Video
    10 views

    Serikali kwa ushirikiano na washirika wengine wa maendeleo,imezindua mpango wa chakula na lishe humu nchini wa kima cha shilingi bilioni 646.7,unaolenga kuleta mabadiliko ya uwepo wa chakula cha kutosha na kuhakikisha lishe bora katika maeneo kame 24,ukinufaisha watu milioni 5. Ufadhili huo ni sehemu ya bajeti ya shilingi bilioni 19 mpango ambao pia unatekelezwa katika mataifa mengine matatu ikiwemo Somalia, Sudan-Kusini na Ethiopia

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News