Shamrashamra za Eid: Wakenya wahimizwa kuwasaidia wasiojiweza katika jamii

  • | KBC Video
    11 views

    Mamia ya Waislamu walisherehekea sikukuu ya Idd – Ul Fitr kwa furaha na burudani huku kukiwa na wito wa kugawana walicho nacho na watu wasiobahatika katika jamii. Ilikuwa ni siku iliyojaa furaha kwa wale waliochagua kutembelea katika mikahawa, maeneo ya kula na bustani mbalimbali ili kuadhimisha mwisho wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Timothy Kipnusu anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News