Shirika la IMF kutathmini upya hali ya uchumi wa Kenya

  • | KBC Video
    21 views

    Shirika la fedha ulimwenguni linasema linatathmini upya hali ya uchumi wa humu nchini kwa kuzingatia misingi ya kitaifa na kimataifa. Hapo jana, shirika hilo lilitangaza kuwa litaanzisha uchunguzi wa hali ya kiuchumi humu nchini ambao utajumuisha ripoti ya utathmini wa mashauriano baina yake na serikali kuhusu mipango yake humu nchini. Ufuatao ni mseto wa taarifa za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News