Shirika La PWAM Lasisitiza Kutupa Taka Kwa Njia Bora Malindi Kaunti Ya Kilifi

  • | TV 47
    15 views

    Shirika La PWAM Lasisitiza Kutupa Taka Kwa Njia Bora Malindi Kaunti Ya Kilifi

    Washika dau wa mazingira katika kata ya Malindi wanaiomba serikali ya Kaunti Ya Kilifi kuweka mapipa ya taka katika mji wa kivutio ili kusaidia kupunguza kuenea kwa taka.

    Wakiongozwa Na Shirika La Maendeleo La PWAM, walisisitiza umuhimu wa kuwekwa kwa mapipa ya taka katika maeneo maalum ili kuwahimiza wakazi na watalii kutupa taka kwa njia inayofaa.

    #TV47Wikendi #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __