Shughuli ya kutafuta mwili wa kijana wa chuo kikuu cha Masinde Muliro mjini Kakamega yaendelea

  • | Citizen TV
    464 views

    Mwanafunzi wa mwaka wa pili adaiwa kufa maji jumapili alikuwa chuo kikuu cha masinde muliro huko Kakamega familia yaomba msaada wa serikali kuupata mwili wake