Siha na Maumbile |Tunaangazia virusi vya HPV vinavyosababisha Saratani

  • | Citizen TV
    293 views

    Katika makala ya Siha na maumbile wiki hii, Daktari Ngechu Wambui anatujuza mengi kuhusiana na Virusi vya HPV ambavyo vimeonekana kusababisha Saratani kadhaa ikiwemo Ile ya shingo ya kizazi. Hebu tusikilize kwenye makala haya na Mwanahamisi Hamadi