"Sijawahi kutoa wimbo mkubwa kama huu "

  • | BBC Swahili
    797 views
    Dayoo @dayoo_tz au Mangii ni mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka nchini Tanzania. Nyimbo zake nyingi zimekuwa zikipata umaarufu kupitia mitandao ya kijamii huku zikiangaliwa na watu Afrika Mashariki. Miongoni mwa nyimbo zake ni pamoja na 'Huu mwaka' iliyompa umaarufu mkubwa Afrika Mashariki Dayo amezungumza na mwandishi wa BBC Regina Mziwanda #bbcswahili #huumwaka #Maisha Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw