Siku ya Kifua Kikuu Ulimwenguni I Maambukizi ya kifua kikuu yapungua Kenya

  • | KBC Video
    9 views

    Kenya imepunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya ugonjwa wa kifuakikuu kutoka visa 168,000 mwaka wa 2017 hadi visa 124,000 mwaka 2024. Haya yalibainishwa na maafisa wa wizara ya afya huku Kenya ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya kimataifa ya kifuakikuu. Mwenyekiti wa kamati ya afya katika bunge la kitaifa Dkt. James Nyikal alitoa wito wa kuwepo kwa fedha za kutosha ili kuhakikisha mipango ya kukabiliana na ugonjwa huu haikwami licha ya serikali ya Marekani kusitisha utoaji misaada.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News