Siku ya maji duniani kuadhimishwa kesho: Wahanga watatizika kupata maji

  • | KBC Video
    45 views

    Ulimwengu unajiandaa kuadhimisha siku ya maji duniani licha ya kuwepo kwa tatizo la uhaba wa maji ambalo limechangia mzozo wa kibinadamu katika baadhi ya nchi duniani. Kamati ya kimataifa ya shirika la msalaba mwekundu ambayo iko mstari wa mbele kutoa misaada ya kibinadamu nchini Sudan na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetoa tahadhari kuhusu tatizo kuongezeka kwa mizozo na kuhimiza juhudi za pamoja katika usambazaji maji safi na raslimali nyingine kwa wale walioachwa bila makao kutokana na mizozo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive