Siku ya Ukweli Duniani I Waathiriwa wa dhuluma waitaka serikali kuwafidia

  • | KBC Video
    10 views

    Waathiriwa wa unyanyasaji wa kimapenzi, kijinsia na dhuluma nyingine humu nchini, wametoa wito kwa serikali kuwafidia. Wamesema wamelazimika kugharamikia kuuguza makovu ya unyanyasaji wa kimwili na kihisia kwa miaka mingi. Waathiriwa hao waliokusanyika jijini Nairobi, walitaka kufahamishwa jinsi fedha za hazina ya kuwafidia ya shilingi bilioni 10 iliyoanzishwa na rais mstaafu Uhuru Kenyatta mnamo mwaka wa 2015 zilivyotumika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News