Siku Ya Vijana: Vijana wahimizwa kutumia mitandao kujikimu

  • | KBC Video
    57 views

    Vijana humu nchini wanashinikiza ushirikishwaji katika uongozi wa taifa ili wapate jukwaa la kuangazia masuala yao. Ujumbe huu ulikaririwa wakati wa siku ya kimataifa ya vijana ambayo kauli mbiu ilikuwa "Funguo za Mafanikio". Kauli mbio hiyo iliwiana na wito wao wa kutaka kuwe na marekebisho kwenye baraza la kitaifa la vijana ili maoni yao yanakiliwe. John Kahiro anaangazia sherehe zilizojiri, vijana wakihimizwa kutumia mfumo wa kidijitali kujipatia riziki na kubuni nafasi za ajira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive