Simulizi ya mama anayepambana kumuokoa kijana wake kunyongwa Saudi Arabia

  • | BBC Swahili
    184 views
    Mama Mkenya anavyopambana kuokoa maisha ya mtoto wake anayekabiliwa na hukumu ya kifo Saudi Arabia - Familia ya Stephen Munkho inakimbizana na muda ili kuokoa maisha yake. - Wanahitaji kuchangisha Dola za Marekani 950,000 kama fidia ili kusitisha kunyongwa kwake nchini Saudi Arabia. #bbcswahili #SaudiArabia #kenya #mahakama #sheria #sheriazakimataifa