Spika wa kaunti ya Nyamira atimuliwa

  • | KBC Video
    36 views

    Bunge la kaunti ya Nyamira limembandua spika Enock Okero wakati wa kikao kilichokumbwa na vurumai na ambacho kiliongozwa na naibu spika Thaddeus Nyabaro. Kuondolewa kwa Okero kunafuatia wiki kadhaa za uhasama katika bunge hilo ambao hatima yake ilikuwa kuondolewa kwake..

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive