Stars tayari kwa mapinduzi cup

  • | Citizen TV
    213 views

    Timu ya taifa Kenya Harambee Stars imefanya mazoezi ya mwisho hii leo tayari kwa mechi yake ya ufunguzi ya mchuano wa mapinduzi hapo kesho kisiwani pemba.

    Baada ya kuondoa uganda na burundi, Stars itaanza mechi ya kwanza dhidi ya burkina faso hapo kesho baada ya wenyeji Zanzibar kuchuana na Tanzania bara hii leo. Kwenye mechi ya pili stars, itavaana na Tanzania kabla ya kumaliza ratiba dhidi ya zanzibar. Timu mbili za kwanza zitapiga fainali Januari 13.