Taaifa mseto kutoka Magatuzini

  • | KBC Video
    11 views

    Msikiti wa Taqwa katika eneo la Njiru kaunti ya Nairobi umezongwa na zogo la umiliki baina ya makundi mawili ya Waislamu. Kundi moja linadai kujenga msikiti huo kutokana na ufadhili wa kigeni pamoja na wananchi lakini kundi jingine limejitokeza kudai umiliki wa msikiti huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive