Taasisi hiyo imekaguliwa na wakuu wa tume ya vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    114 views

    Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu Imekagua na Kuthibitisha Rasilimali katika taasisi ya mafunzo kiadventisti Cha Kamagambo ziko katika hali ya juu na zinatosha kufanikisha kupandishwa hadhi kwa taasisi hiyo na kuwa chuo kikuu