Taasisi ya Katiba yasema kufahamu ni nguvu

  • | KBC Video
    15 views

    Wakenya wametakiwa kuchukua hatua za sheria iwapo watanyimwa habari muhimu kuhusu utendakazi wa serikali kuu na zile za kaunti. Akiongea katika kaunti ya Samburu wakati wa kampeni ya uhamasisho kuhusu umuhimu wa kupata habari zinazohitajika ambayo iliandaliwa na taasisi ya Katiba, Kevin Mabonga kutoka taasisi hiyo alisema kila Meknya ana haki ya kupata habari anazohitaji kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha katiba ya Kenya. Taasisi ya Katiba imesema serikali inapasa kutoa habari zinazohitajika kwa ajili ya kuhakikisha uwajibikaji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive