- 1,735 viewsDuration: 2:59Walimu hii leo wameondoka katika ikulu ya nairobi wakiwa na tabasamu baada ya mkutano na Rais William Ruto ambapo Rais alitangaza nyongeza ya mgao wa fedha za kuwapandisha vyeo. Walimu elfu hamsini zaidi sasa watapandishwa vyeo kutoka elfu ishirini na tano waliopangiwa kila mwaka. Rais alikiri kuwa walimu zaidi ya laki nne wamekwama katika daraja moja ya ajira kwa muda mrefu na kuahaidi kutatua suala hilo.