Taharuki mpakani Transmara

  • | Citizen TV
    720 views

    Watu wawili wamefariki huku watu zaidi ya ishirini wakijeruhiwa kufuatia mapigano yanayoendelea katika mpaka wa Kisii na Transmara. Aidha zaidi ya ekari 20 ya mashamba zimeteketezwa.