Tazama shule ya kipekee ya mianzi

  • | BBC Swahili
    430 views
    Shule ya mianzi huko Buri Ram, Thailand, ni ya kipekee: inaendeshwa na wanafunzi ambao pia huchagua hata walimu wanaotaka wawafundishe. - Shule inalenga katika kujenga tabia na kutengeneza raia bora. - #bbcswahili #thailand #elimu #vijana