- 350 viewsDuration: 2:06Utafiti wa kampuni ya TIFA unaonyesha kuwa wakenya wengi wanahofia kuwa taifa haliendeshwi vema. Utafiti huo uliofanywa kati ya tarehe 23 Agosti na tarehe 3 Septemba mwaka huu, unaashiria kuwa wakenya hawajaridhishwa na uongozi wa taifa huku hali ya uchumi na gharama ya juu ya Maisha zikiendelea kuwa mzigo mkubwa.