14 Nov 2025 2:15 pm | Citizen TV 381 views Duration: 1:29 Timu ya taifa ya soka Harambee Stars ilikamilisha maandalizi yake tayari kwa mchuano wa kirafiki hii leo dhidi ya Equatorial Guinea.