Trevor Muriithi: Mwanafunzi wa Multimedia aliyepigwa na polisi afanyiwa upasuaji

  • | TV 47
    124 views

    Trevor Muriithi, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha Multimedia, amefanyiwa upasuaji baada ya kuvunjika mguu wakati wa tukio la kusikitisha ambapo alipigwa na kujeruhiwa na maafisa wa polisi wa kupambana na ghasia waliotumwa chuoni humo jumanne baada ya maandamano kuzuka.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __