Trump apiga kengele kufungua Soko la Hisa kama mtu mashuhuri wa Jarida la Times

  • | VOA Swahili
    476 views
    Rais-mteule Donald Trump akipiga kengele kufungua Soko la Hisa New York kama mtu mashuhuri mwaka huu Rais-mteule Donald Trump alipiga kengele ya kufungua Soko la Hisa la New York Alhamisi baada ya kutambuliwa kwa mara ya kwanza na jarida la Time kama mtu mashuhuri Mwaka huu. Heshima aliyopewa mfanyabiashara aliyegeuka kuwa mwanasiasa ni kipimo cha kurejea kwa Trump kwa kishindo kutoka rais wa zamani aliyetengwa aliyekataa kukubali kushindwa katika uchaguzi miaka minne iliyopita hadi kuwa rais-mteule aliyeshinda bila ya kudadisiwa kuingia White House mwezi Novemba. - (AP) #trump #poy #personoftheyear #nyse #voa