TSC inafanya kikao na KUPPET na KNUT kwa nia ya kuzuia mgomo

  • | Citizen TV
    889 views

    Tume ya walimu - TSC inafanya kikao na vyama vya walimu ili kujaribu kuzuia mgomo ambao umepangiwa kuanza wiki ijayo. Walimu wametishia kugoma wakitaka mkataba wa maelewano utekelezwe kikamilifu.