Tuju Awasilisha Ushahidi Dhidi Ya Baadhi Ya Majaji Kwa EACC

  • | TV 47
    344 views

    Tuju Awasilisha Ushahidi Dhidi Ya Baadhi Ya Majaji Kwa EACC

    Tume Ya Maadili Na Kupambana Na Ufisadi (EACC) inakagua ushahidi uliowasilishwa kwake na Aliyekuwa Katibu Mkuu Wa Jubilee, Raphael Tuju, ambaye anataka uchunguzi kuanzishwa dhidi ya majaji kwa madai ya ukosefu wa maadili.

    #UpeoWaTV47 #UkumbiWaSiasa

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __