Tume ya KNCHR yatoa mpango unaolenga kuwajumuisha wakimbizi na jamii

  • | Citizen TV
    55 views

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu imezindua mpango unaolenga kuwajumuisha wakimbizi nchini kupitia jamii zinazowahifadhi.