'Tumeona mabomu yanaanguka huko ikabidi tukimbie'

  • | BBC Swahili
    1,477 views
    Umoja wa Mataifa umeibua wasiwasi kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayozidi kuzorota mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, huku ghasia zikilazimisha mamia kwa maelfu kukimbia makazi yao na kuzua hofu ya mzozo mkubwa zaidi wa kikanda. Mapigano yameongezeka katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo tangu mwanzoni mwa mwaka huu, huku waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wakichukua udhibiti wa maeneo mengi zaidi kuliko hapo awali. #bbcswahili #drc #M23 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw