‘Tutaheshimu sheria,’ Tume ya JSC haitasikiza kesi za kumbandua jaji mkuu

  • | Citizen TV
    2,444 views

    Tume ya huduma za mahakama haitasikiliza kesi kuhusu maombi ya kutaka kuondolewa kwa Jaji Mkuu na majaji wa mahakama ya juu nchini. Naibu mwenyekiti wa JSC Isack Rutto anasema kuwa wanafuata maagizo ya mahakama yaliyozuia JSC kuendelea kusikiliza kesi tatu zilizowasilishwa mbele yake.