Uchunguzi wa maiti ya Nancy Boke Chacha waonesha aliuawa kwa kunyongwa

  • | Citizen TV
    6,908 views

    Uchunguzi Wa Maiti Ya Nancy Boke Chacha Aliyeuawa Na Watu Wasiojulikana Umebaini Msichana Huyo Alifariki Kwa Kukosa Hewa Na Pia Alinyongwa…Uchunguzi Wa Mwili Wa Msichana Huyo Wa Umri Wa Miaka 24 Ulifanyika Katika Makafani Ya City Hapa Jijini Nairobi Na Daktari Ndegwa Muriuki.