Ufisadi: Wafanyakazi 19 wa KRA waachishwa kazi

  • | KBC Video
    455 views

    Halmashauri ya ukusanyaji ushuru, KRA iliwaachisha kazi maafisa 19 kati ya mwezi Okotoba na mwezi Disemba mwaka jana ambao walihusishwa na ufisadi. Miongoni mwa sababu za kundi hilo kuachishwa kazi ni madai ya ulaghai, kusingizia na ukosefu wa maadili. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo chetu cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive