Uganda yatuma wanajeshi 1,000 kuzuia mgogoro wa DRC kuvuka mipaka

  • | Citizen TV
    4,063 views

    Uganda imetuma wanajeshi 1,000 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo chini ya mpango wa operesheni Shujaa karibu na waliko wapiganaji wa M23