Uhaba wa mbolea unakithiri maeneo mengi nchini

  • | Citizen TV
    136 views

    Uhaba wa mbolea bado unaendelea kuwasumbua wakulima nchini, baadhi yao wakilazimika kusafiri hadi maeneo tofauti kutafuta bidhaa hii ambayo imekua adimu katika msimu huu wa upanzi. Ni swala ambalo viongozi wa upinzani wamezamia, wakimtaka Waziri wa kilimo Mutahi kagwe atatatue swala hilo la sivyo waanzishe mchakato wa kumtimua afisini.