Ulimwengu waaadhimisha siku ya kampeni dhidi ya ukeketaji

  • | Citizen TV
    156 views

    Ikiwa siku ya kampeni dhidi ya Ukeketaji Ulimwenguni, hafla hiyo inafanyika Kaunti ya Meru ambapo kumeshuhudiwa ongezeko la ukatili huo wa kijinsia.